MASHINDANO YA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI KATIKA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI AJTC JIJINI ARUSHA KUANZA RASMI Tarehe 23/05/2016

Mkufunzi wa AJTC Bw Andrea Ngobole ndani ya studio za 96.6 AJTC FM

ELIHURUMA CHAO Mkufunzi wa Maswala ya Production na Fundi Mitambo wa AJTC Radio akiwa Katika studio za Radio kuhakikisha Mitambo Inakaa sawa


Makamu Mkuu wa chuo cha Uandishi Wa habari na Utangazaji Arusha Bw. ELIFURAHA SAMBOTO Akiwasilisha Taarifa ya Habari

JACKLINE JOELI Mkufunzi wa Arusha Journalism Akiwa katika kipindi cha GOSPEL TIME Cha 96.6 AJTC RADIO

ONESMO ELIA MBISE kulia Mkufunzi wa Chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha pia ni Mkuu wakitengo Cha utangazaji Chuoni hapo akiwa katika kipindi cha ELIMIKA NAMI

Pichani Ni STEPHEN MULAKI Katika Makala Murua ya DUNIA Makala inayohusiana na Watu wenye Ulemavu wa ngozi ALBINO

Wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa habari nautangazaji Arusha wakiwa makini kuwasikiliza wakufunzi wao
Mashindano hayo yataanza Rasmi Tarehe 23/05/2016 jumatatu ya wiki ijayo hadi tarehe 27/05/2016

HII NI KAWAIDA NA NI DESTURI YA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA (A..J.T.C) KILICHOPO ARUSHA MBAUDA KWA MROMBO KUANDAA MASHINDANO YA UTANGAZAJI KILA WAKATI KUWAPA UWEZO WANAFUNZI KUPAMBANA NA SOKO LA AJIRA PINDI WANAPOMALIZA CHUO
MASHINDANO YA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI KATIKA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI AJTC JIJINI ARUSHA KUANZA RASMI Tarehe 23/05/2016 MASHINDANO YA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI KATIKA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI AJTC JIJINI ARUSHA KUANZA RASMI Tarehe 23/05/2016 Reviewed by KUSAGANEWS on May 20, 2016 Rating: 5

No comments: