PICHA ZINAZOMUONYESHA MEYA WA JIJI LA ARUSHA MH CALIST LAZARO AKIWA ANANGALIA GARI LA WAGONJWA AMBALO LIMETOLEWA NA MBUNGE GODBLESS JONATHANI LEMA MBUNGE WA JIMBO LA ARUSHA MJINI

  Mh Godless Jonathani Lema ameshamkabidhi Meya wa jiji la Arusha Calist Lazaro gari la wagonjwa kwa ajili ya kuhudumia wana Jimbo la Arusha  Asante sana Mbunge wetu Lema,
Mey wa jiji la Arusha mjini Mh Calist Lazaro akiwa anangalia gari la kubebea wagonjwa ambalo limetolewa na mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh G odbless Jonathan Lema


Ikumbukwe kwamba Mbunge Lema aliwahi kutoa gari hili wakati akiwa anagombea nafasi hiyo ya ubunge lakini ikakatakiwa lakini kwasasa itafaidisha wana jimbo la Arusha mjini
PICHA ZINAZOMUONYESHA MEYA WA JIJI LA ARUSHA MH CALIST LAZARO AKIWA ANANGALIA GARI LA WAGONJWA AMBALO LIMETOLEWA NA MBUNGE GODBLESS JONATHANI LEMA MBUNGE WA JIMBO LA ARUSHA MJINI PICHA ZINAZOMUONYESHA MEYA WA JIJI LA ARUSHA MH CALIST LAZARO AKIWA ANANGALIA GARI LA WAGONJWA AMBALO LIMETOLEWA NA MBUNGE GODBLESS JONATHANI LEMA MBUNGE WA JIMBO LA ARUSHA MJINI Reviewed by KUSAGANEWS on April 13, 2016 Rating: 5

No comments: