DIAMOND PLATINUM

Diamond Platnumz Yupo soth Africa  na tayari amesha fanya collabo nyingine na msanii kutoka SA anayefahamika kwa jina la donaldindenial pia msanii diamond amekuwa akitembelea vituo vya radio kwajili ya enterview.
 Diamond aliweka picha twiter akiwa studio ya radio na kuandika maneno  haya DONE! with my Metro Fm interview... SOUTH AFRICA!! catch me and my bro @donaldindenial on 95.9 KAYA Fm NOW!!!  pia yuko shabiki aliye comment katika post hiyo kitendo ambacho kimeonyesha kutokumfurahisha diamond shabiki alicoment hivii "ushamba uo hata interview unarusha kina ngosha washanya izo kibao tu vtu. Vngne vyakawaida xna ww",Diamond alijibu kwakuandika hivi "Nikirusha picha niko na mpenzi najishaua, nikirusha picha za kazi Mshamba.. nipost nini sasa??? Nakunya au?" Ameandika Diamon
DIAMOND PLATINUM DIAMOND PLATINUM Reviewed by KUSAGANEWS on June 18, 2015 Rating: 5

No comments: