JIMBO LA ARUSHA MWAKA HUU LAZIMA TUCHAGUE VIONGOZI BORA /UKAWA



 


Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila wakihutubia wananchi wa wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro .KING KUSAGA
\\
Mwanasheria wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki akihutubia wananchi wa Arusha katika viwanja vya soko la Kilombero jijini Arusha juu ya masuala ya katiba na uchaguzi wa Octoba mwaka huu.Picha naKing kusaga


 Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na Mbunge wa Kigoma Kusini wakiongoza wananchi kuelekea kwenye mkutano wa Hadhara ambapo wamehutubia maelfu ya wananchi waa Siha katika viwanja vya Soko la Lawate.picha na King kusaga
JIMBO LA ARUSHA MWAKA HUU LAZIMA TUCHAGUE VIONGOZI BORA /UKAWA JIMBO LA ARUSHA MWAKA HUU LAZIMA TUCHAGUE VIONGOZI BORA /UKAWA Reviewed by KUSAGANEWS on May 13, 2015 Rating: 5

No comments: