Timu hizo 15 zinatokea
katika mataifa 11 ambayo yana upinzani mkubwa wa kisoka.
Mataifa hayo ni Mali,
Algeria, Misri, Nigeria, Gabon, Swaziland, Ivory Coast, Ghana, Tunisia, DR Congo na
Morocco.
Yanga inakutana na Etoile
du Sahel ya Tunisia katika raundi hiyo.
Kikosi hicho cha Mholanzi,
Hans van der Pluijm kimefuzu baada ya kuing’oa FC Platnum ya Zimbabwe.
Yanga imefuzu katika hatua ya pili ya michuano ya Kombe la Shirikisho ikiwa na timu nyingine 15.
Reviewed by KUSAGANEWS
on
April 06, 2015
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
April 06, 2015
Rating:


No comments:
Post a Comment