Garissa Redio 2 zafungwa Somalia.




 Mamlaka nchini Somalia imevifunga vituo viwili vya redio nchini humo baada ya kutangaza habari za wapiganaji wa Al-shabaab kuhusu shambulio la chuo kikuu nchini Kenya.

Kituo cha redio cha Sky FM na kile cha Shebelle vilifungwa huku mtangazaji na mkurugenzi wakikamatwa.

Vikosi vya usalama nchini Somali vimekuwa vikiwakamata wanahabari ambao hufanya mahojiano na wapiganaji wa Al-shabaab ama kutangaza habari zao.
Garissa Redio 2 zafungwa Somalia. Garissa  Redio 2 zafungwa Somalia. Reviewed by KUSAGANEWS on April 06, 2015 Rating: 5

No comments: