Shambulizi la kujitoa mhanga kwenye
mji ulio mashariki mwa Afghanistan wa Jalalabad limewaua watu 33 na
kuwajeruhiwa karibu wengine 100.
Maafisa wanasema kuwa mtu aliyeendesha shambulizi hilo alikuwa na pikipiki.
Kulitokea shambulizi la pili karibu na madhabahu mjini Jalalabad lakini haijulikani kama kulikuwa na madhara yoyote.
Hakuna kundi lililokiri kuhusika, lakini mji wa Jalalabad umekuwa ukilengwa kila mara na kundi la Taliban.
Watu zaidi ya 30 wauawa Afghanistan
Reviewed by KUSAGANEWS
on
April 18, 2015
Rating:
No comments:
Post a Comment