MANCHESTER UNITED WAKWAMA KWA VINARA CHELSEA LIGI KUU ENGLAND


Eden Hazard dakika ya 38 kipindi cha kwanza aliipatia bao la kuongoza kwa kufanya 1-0 dhidi ya Manchester United. Baaada ya kupata pasi safi ya kisigino kutoka Oscar na kumfunga kipa wa Man United De Gea na mechi kwenda mapumziko Chelsea wakiongoza. Mashabiki wakiwa tayari kwa mtanange huu wa Chelsea vs Man UnitedVIKOSI:
Chelsea:
Courtois, Ivanovic, Terry, Cahill, Azpilicueta, Zouma, Matic, Oscar, Fabregas, Hazard, Drogba.
Akiba: Cech, Luis, Ramires, Mikel, Willian, Cuadrado, Solanke.

Man Utd: De Gea, Valencia, Smalling, McNair, Shaw, Rooney, Mata, Ander Herrera, Fellaini, Young, Falcao.
Akiba: Da Silva, Di Maria, Januzaj, Van Persie, Valdes, Blackett, Pereira.
Refa: Mike Dean
MANCHESTER UNITED WAKWAMA KWA VINARA CHELSEA LIGI KUU ENGLAND MANCHESTER UNITED WAKWAMA KWA VINARA CHELSEA LIGI KUU ENGLAND Reviewed by KUSAGANEWS on April 18, 2015 Rating: 5

No comments: