Tetemeko la ardhi laikumba Guinea

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.7 limeikumba Papua New Guinea.

Kwa mujibu wa habari,watu 55 wamepoteza maisha katika tetemeko hilo.

Gavana William Powi amesema kuwa tetemeko hilo limetokea kilomita 112 kutokea mji wa Porgera mashariki mwa Papua New Guinea.

Mnamo tarehe 25 Februari watu 15 walipoteza maisha baada ya tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.5 kuukumba mji wa Porgera.

Tetemeko la ardhi laikumba Guinea Tetemeko la ardhi laikumba  Guinea Reviewed by KUSAGANEWS on March 07, 2018 Rating: 5

No comments: