Mtu mmoja aliyepiga simu kujitambulisha ni Msaidizi Joseph Kusaga mmliki wa Clouds amehoji kuhusu jina la Moja ya blog Inayomilikiwa na mwandishi wa Habari anayejulikana kwa jina la Alphonce Saul Kusaga aliyeko Arusha.
Akizungumza na Alphonce Kusaga ambaye ni Mmliki w Kusaga News amehoji uhalali wa matumizi ya Jina hilo ambalo linafanana na Mkurugenzi huyo wa Clouds.
Awali akizungumza na designer wa Blog hiyo Bwana Cephas Daniel Ilani alimtishia kwa kumuambia afute Blog hiyo kabla hatua nyingine kuchukuliwa.
Kufuatia hayo Mmiliki wa Kusaga News Ambaye ni Alphonce Kusaga Alimpigia Simu Msaidizi huyo na kumuliza kuhusu matisho yake ya kutoka blog ya kusaga Kufutwa kwa kuwa jina linafanana na Mmliki wa Clouds.
Reviewed by KUSAGANEWS
on
July 21, 2017
Rating:

No comments:
Post a Comment