MARA YA KWANZA KABISA RAISI WA NCHI YETU KUPIGA SIMU LIVE KWENYE KIPINDI CHA CLOUDS 360 NA KUZUNGUMZA PAMOJA NA MALKIA WAKE MAMA MAGUFULI KAMA WASIKILIZAJI WENGINE
Rais
John Magufuli na Mkewe, Mama Janeth leo amekuwa Rais wa kwanza Tanzania
kupiga simu ya surprise moja kwa moja kwenye kituo cha runinga kama
mtazamaji wa kawaida akichangia yaliyokuwa yanajadiliwa kwenye kipindi.
Magufuli
amezungumza moja kwa moja na watangazaji wa kipindi cha ‘360’ cha
Clouds TV akiwapongeza kwa kazi nzuri wanayoifanya ikiwa ni pamoja na
namna walivyochambua magazeti na mijdala mingine. Moja kati ya mijadala
hiyo ilikuwa mjadala uliohusu ziara yake Benki Kuu.
Rais
Magufuli pia aliisifu ‘Clouds Media Group’ kwa namna wanavyofanya kazi
akiigusia tukio la ‘Malikia wa Nguvu’ lililolenga kutambua mchango wa
wanawake nchini katika kuzitambua fursa na kuzifanyia kazi ipasavyo.
MARA YA KWANZA KABISA RAISI WA NCHI YETU KUPIGA SIMU LIVE KWENYE KIPINDI CHA CLOUDS 360 NA KUZUNGUMZA PAMOJA NA MALKIA WAKE MAMA MAGUFULI KAMA WASIKILIZAJI WENGINE
Reviewed by KUSAGANEWS
on
March 17, 2016
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
March 17, 2016
Rating:


No comments:
Post a Comment