ENGLAND YALAZWA NA UHOLA ,URENO YAWIKA TENA



Katika Mechi za kirafiki za kimataifa zilizochezwa jana Ureno wamefanikiwa kuchomoza na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Ubelgiji.

England imeonja joto ya jiwe kwa kuchapwa na Uholanzi magoli 2-1, Ufaransa imetakata dhidi ya Urusi kwa ushindi wa magoli 4-2, Scotland imeifunga Denmrk 1-0.

Estonia imepigwa na Serbia kwa kufungwa bao 1-0, Georgia imetoka sare na Kazakhstan ya bao 1-1, Macedonia imekubali kichapo kutoka kwa Bulgaria ca bao 1-0.

Greece imefungwa na Iceland bao 3-2, Norway imeshinda dhidi ya Finland bao 2-0, Montenegro na Belarus nguvu sawa 0-0, Georgia na Kazakhstan zimetoka sare pacha ya bao 1-1.
Hayo ni matokeo ya mechi za kirafiki za kimataifa.
ENGLAND YALAZWA NA UHOLA ,URENO YAWIKA TENA ENGLAND YALAZWA NA UHOLA ,URENO YAWIKA TENA Reviewed by KUSAGANEWS on March 31, 2016 Rating: 5

No comments: