Ajali
mbaya ya barabarani imetokea mkoani Tanga leo asubuhi wakati Basi la
Kampuni ya Simba Mtoto ya Tanga lilipogongana na Lori uso kwa uso katika
eneo la Pangamlima Wilayani Korogwe mkoani humo.
Taarifa za awali kutoka eneo la tukieo zinaeleza kuwa watu 10 wanahofiwa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa vibaya atika ajali hiyo.
Nini kifanyike kuzuia haya yote?
Taarifa za awali kutoka eneo la tukieo zinaeleza kuwa watu 10 wanahofiwa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa vibaya atika ajali hiyo.
Nini kifanyike kuzuia haya yote?
Basi La Simba Mtoto Lapata Ajali Muheza Tanga....Watu 11 Wafariki Dunia
Reviewed by KUSAGANEWS
on
February 11, 2016
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
February 11, 2016
Rating:

No comments:
Post a Comment