BAADA YA KUTAMBA NA NIMETOKA MBALI NA WEWE NI MUNGU SASA ENGINEER, CARLOS MKUNDI ANAKULETEA "NIANGAZIE"
Baada ya kutamba Afrika mashariki na kati kupitia wimbo wake wa NIMETOKA MBALI na WEWE NI MUNGU sasa Engineer Carlos Mkundi anakuletea nyimbo yake mpya iitwayo NIANGAZI amabyo video yake sasa iko kushutiwa na director ambaye jina alijawekwa wazi kwa sasa ili kuweka hamu kwa wapenzi wa nyimbo za injili kusubiria kwa hamu
Watanzania na wapenzi wa nyimbo za injili wamesema kuwa wanaamini kwamba Eng Carlos Ni mwimbaji mwenye mtazamo wa kufikisha mbali mziki wa Nyimbo za injili Ndani ya Afrika pamoja na ulimwengu kwa ujumla
Pia Ametamba na Albam yake ya kwanza inaitwa WEWE NI MUNGU , Ambayo imemtambulisha kwa wimbo unaitwa NIMETOKA MBALI Ambao hakuna mtu ambae hajui wimbo huo mpaka mtoto mdogo anatambua kutokana na wimbo huo ulivyovuma.

Vilevile Eng alisema kuwa watanzania wategemee vitu vizuri kutoka kwake ndani ya mwaka huu wa 2016
Mungu bariki Eng Carlos Mkundi Mungu bariki Mziki wa Injili Mungu Bariki Tanzania pamoja na waimbaji wooote wa injili.
SASA KITU KIPYA KINASEMA NIANGAZIE IKO TAYARI NI MKAO WA KUBARIKI WATANZANIA NA AFRIKA YOTE KARIBU
BAADA YA KUTAMBA NA NIMETOKA MBALI NA WEWE NI MUNGU SASA ENGINEER, CARLOS MKUNDI ANAKULETEA "NIANGAZIE"
Reviewed by KUSAGANEWS
on
February 01, 2016
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
February 01, 2016
Rating:


No comments:
Post a Comment