Gallawa
alisema kwamba amechukua uamuzi huo kwa kuzingatia mamlaka aliyonayo
kwa mujibu wa Katiba, Ibara ya 61, Ibara ndogo ya 4.
Alisema kutokana na amri hiyo itakuwa marufuku kwa wakazi na wafanyabiashara wa mkoa huo kuuza au kunywa pombe kuanzia saa moja na nusu asubuhi hadi saa kumi na nusu jioni.
Alisema kutokana na amri hiyo itakuwa marufuku kwa wakazi na wafanyabiashara wa mkoa huo kuuza au kunywa pombe kuanzia saa moja na nusu asubuhi hadi saa kumi na nusu jioni.
Aidha
mkuu huyo wa mkoa amewaagiza wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa
halmashauri kusimamia utekelezaji wa amri hiyo na kuongeza kuwa yoyote
atakayekiuka amri hiyo atachukuliwa hatua kali za kisheria.
Mpekuzi blog
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Apiga Marufuku Kuuza na Kunywa Pombe Saa za Kazi
Reviewed by KUSAGANEWS
on
November 28, 2015
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
November 28, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment