Ajali ya Daladala yaua watu 19 Leo jijini Mbeya





Ajali ya Daladala imeua watu 19 eneo maarufu kama Uwanja wa ndege, Kiwila, Mkoani Mbeya baada ya daladala hiyo kutumbukia kwenye Mto.
Habari  toka  eneo la tukio zinaarifu kuwa watu wawili tu ndio wamepona akiwemo kondakta. 
 
Ajali hii imetokea baada  ya Coaster zinazofanya safari zake kati ya Mbeya na Kyela kugoma hivyo baadhi ya daladala za mjini kuamua kubeba abiria.



 
 

Ajali ya Daladala yaua watu 19 Leo jijini Mbeya Ajali ya Daladala yaua watu 19 Leo jijini Mbeya Reviewed by KUSAGANEWS on April 17, 2015 Rating: 5

No comments: