Mbali na Rugemarila,
mshatakiwa mwingine katika kesi hiyo ni mwanasheria wa kampuni ya kufua umeme
ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Joseph Makandege na wote walikuwa
wakikabiliwa na makosa ya kughushi, kutakatisha fedha na kuongoza genge la uhalifu
na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu
Wakili wa Serikali
mwandamizi, Grace Mwanga amedai kuwa upande wa mashtaka hawana nia ya kuendelea
na shauri hilo kupitia kifungu cha 91(1) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya
mwaka 2019.
"Hatuna nia ya kuendelea na kesi hii, tunaiomba mahakama hii imwachilie huru mshatakiwa Rugemalira," amesema Mwanga.
Baada ya maelezo hayo
Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi alikubali ombi lililotolewa na upande wa
jamhuri na kumuachia Rugemalira.
"Kesi naiahirisha
hadi Desemba 23, 2021 na mshtakiwa Makandege ataendelea kuwa mahabusu,” amesema
hakimu huyo.
No comments:
Post a Comment