Wizara ya Fedha na Mipango imeliomba Bunge kuidhinishiwa
Sh12.06 trilioni katika mwaka wa fedha 2018/19
Akiwasilisha bajeti yake bungeni leo, Juni 4, 2018, Waziri
wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema kati ya fedha hizo Sh10.76
trilioni ni kwa ajili ya matumizi wa kawaida
Amesema kati ya hizo, Sh10.76 trilioni ni za malipo ya deni
la Taifa na huduma nyingine ni Sh10.0 trilioni huku mishahara ikiombewa Sh65.76
bilioni na matumizi mengineyo ni Sh693.26 bilioni
Wizara ya Fedha yaliomba Bunge Sh12 trilioni
Reviewed by KUSAGANEWS
on
June 04, 2018
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
June 04, 2018
Rating:


No comments:
Post a Comment