Serikali imesema imeanza kujenga vituo vipya vya Afya 208 na
vingine kuvikarabati ambapo zaidi ya shilingi Bilioni 150 kufanikisha hilo
wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe.Suleiman Jafo amesema
hayo Bungeni mkoani Dodoma wakati akijibu maswali yaliyoelekezwa kwa wizara
hiyo
Waziri Jafo amesema sambamba na ujenzi na ukarabati huo
ajira mpya zaidi ya 6000 zitapatikani
Waziri Jafo
amesema serikali ipo katika mchakato wa kujenga baadhi ya hospitali za wilaya
katika wilaya ambazo hazina hospitali hizo
Serikali kujenga vituo vya afya vipya 208
Reviewed by KUSAGANEWS
on
June 01, 2018
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
June 01, 2018
Rating:


No comments:
Post a Comment