Shule ya sekondari ya Wasichana ya
Moi nchini Kenya imefungwa kwa dharla kwa muda wa wiki moja, baada ya kuwepo
kwa tuhuma za vitendo vya ubakaji.
Katibu wa Tume ya Elimu Amina
Mohamedi ametoa agizo la kufungwa kwa shule hiyo asubuhi ya leoJuni 3, baada ya
kufanya kikao na uongozi wa shule hiyo, ambayo imekutwa na tukio la ubakaji.
Katibu huyo amesema kwamba serikali
inajipanga kuweka ulinzi shuleni hapo, huku ikijiandaa kufanya hivyo kwa shule
zingine ili kuzuia vitendo kama hivyo visijitokeze tena.
Shule ya hiyo ambayo hivi karibuni
ilikumbwa na tukio la ajali ya moto, imekumbwa na tukio la ubakaji baada ya mtu
mmoja kuingia bwenini na kubaka wanafunzi watatu
Sekondari yafungwa baada ya wanafunzi kubakwa
Reviewed by KUSAGANEWS
on
June 03, 2018
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
June 03, 2018
Rating:


No comments:
Post a Comment