Moto mkubwa unaosemekana
umesababishwa na kulipuka kwa jiko la nishati ya gesi umeteketeza nyumba
moja yenye vyumba sita iliyopo katika mtaa wa hazina x jijini Dodoma na
kuharibu mali za baadhi ya wapangaji waliokuwa wakiishi ndani ya nyumba
hiyo.
Picha haihusiani na tukio halisi
Wakizungumza
na waandishi wa habari baadhi ya wapangaji wa nyumba hiyo Maimuna
Hussein na Nickson Steven wamesema moto huo umetokea saa 3:40 asubuhi na
kuteketeza baadhi ya mali zao.
Kwa upande wake Mkuu wa kikosi cha zimamoto na uokoji mkoa wa Dodoma, kamishna msaidizi Regina Kaombwe, amesema baada ya kupata taarifa ya kuungua kwa nyumba hiyo waliwahi eneo la tukio na kisha ametoa wito kwa wakazi wa jiji hilo.
Mtazame hapa chini Kamishna Msaidizi, Regina Kaombwe akiongea zaidi juu ya tukio hilo

Mtungi wa gesi wateketeza nyumba Dodoma
Reviewed by KUSAGANEWS
on
June 05, 2018
Rating:

No comments:
Post a Comment