NaibuWaziri
OR-TAMISEMI Mhe. JosephatKandegeakifurahiajambowakatiwakikao cha
MapokeziyaKamatiya Bunge yaHesabuzaSerikalizaMitaa.
|
NaibuWaziri OR-TAMISEMI Mhe. JosephatKandegeakifurahiajambowakatiwakikao cha MapokeziyaKamatiya Bunge yaHesabuzaSerikalizaMitaa |
WataalamwanaosimiaMiradiyaBenkiyaDunia
OR-TAMISEMI pamojanaKamatiya Bunge yahesabuzaSerikalizaMitaatoka Uganda
wakimskilizamtaalamuwamaabarayamradiwa DMDP
|
WataalamwanaosimiaMiradiyaBenkiyaDunia
OR-TAMISEMI pamojanaKamatiya Bunge yahesabuzaSerikalizaMitaatoka Uganda
wakimskilizamtaalamuwamaabarayamradiwa DMDP
|
Kamati ya bunge ya hesabu za Serikaliza Mitaa kutokaNchini
Uganda(PAC-LG) imemwagia sifa Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam unaoendelea kutekelezwa katika Manispaa ya Tano za Mkoa wa
Dar es salaam.
Kamati hiyo yenye zaidi ya wajumbe kumi wa liotembelea Mradi wa DMDP unaotekelezwa chini ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa wamesema ni mradi wa mfano na kuigwana Nchi za Afrika Mashariki zinazopata mkopo wa fedha kutoka Benki ya Dunia.
AkizungumzakatikaziarahiyoyamafunzoMwenyekitiwaKamatihiyo
(PAC-LG)Mhe. Ronald Reagan Okumuamesemalengo la ziarayaonikuonanamnaambavyomiradiyaUboreshajiMiundombinuinayotekelezwakwafedhazaMkopotokaBenkiyaDunia;
“Tunapendakuonauborawamiradihiyo,
taratibuzaulipajifidiazilivyofuata, maelekezoyamkopowafedhahizoyalivyozingatiwanazaidinamnaambavyofedhazilivyopokelewa,
zinavyosimamiwanawataalamu, zinavyotumikanazinafanyiwaukaguzinazaidisualazima
la thamaniyafedha”Value for Money” kuonekanakatikamiradihiyo” alisemaMhe. Okumu.
Akipokeaujumbehuotoka Bunge la Uganda NaibuWaziriOfisiyaRaisTawalazaMikoanaSerikalizaMitaaMhe. JosephatKandegeamesemamradihuuumetekelezwakwakipindi
cha miaka mitatu sasa na mafanikio yaliyopatika nanimakubwa nakwakiasikikubwaumesaidiakuwapunguziakerowananchiwaMkoawa
Dar es salaam.
“Karibumjifunzekwakuonamtaonabarabarazilivyojengwakwauborawahaliyajuu,
njiaza bora waendakwamiguu, miferejiyenyeviwangoyakusafirishiamajiyamvua,
masokonaofisizamiradipamojanamaabarazakisasazakupimauborawabarabarazinazoendeleakujengwa“
alisemaKandege.
AkielezeaMiradiinayotekelezwachiniyafedhazaMkopowaBenkiyaDuniaMratibuwaMiradihiyotokaOfisiyaRaisTawalazaMikoanaSerikalizaMitaaEng. Davis Shemangaleamesemakuwamradihuuunatekelezwakwakipindicha
miakamitanonaunalengo lakuboreshaJiji la Dar es salaam lizidikuwa bora
katikaSektayamiundombinu, usafirimjinipamojanausalama
Eng.
Shemangalealiongezakuwamradihuopiautaboreshamakazi bora
sambambanakujengauwezowaKitaasisipamojanamifumostahikinayakutoshakutunzakumbukumbunatakwimuitakayosaidiakatikaUkusanyajiwamapato.
NayemratibuwamradiwauendelezajiwaJiji la Dar es salaam
(DMDP) Eng. Emmanuel NdyamukamaamesemaKatikaawamuya
kwanza yamradihuuitagharimujumlayaDolazaKimarekaniMilioni 300
ambazoniFedhazaMkopokutokaBenkiyaDunia. AidhaShirika la maendeleo la Nchiza
Nordic litatoaruzukuyadolazakimarekani Mil.TanokwaajiliyakukabilichangamotozamabadilikoyaTabiayaNchinahukuSerikaliya
Tanzania ikichangiatakribaniDolazaKimarekani
Mil. 25.3 kwaajiliyakulipafidiawananchiwalioathirikanamradi.
Kamatiya Bunge
yahesabuzaSerikalizaMitaaikokatikaziarayamafunzokwamudawasikuTanonaitatemebelamiradiyauendelezajiwaJiji
la Dar es salaam (DMDP), Mabasiyaendayoharaka (BRT) kasha
kuelekeakatikaManispaayaMorogoroambakowatatembeleamradiwauboreshajinauimarishajiwaMamlakazaMiji
(ULGSP) kasha kumalizianaJiji la Dodoma ambakowatajionemradiwaUboreshajiMijiKimkakati
(TSCP).
Kamati ya Bunge ya Uganda Yamwagia Sifa Mradi wa DMDP
Reviewed by KUSAGANEWS
on
May 15, 2018
Rating:
No comments:
Post a Comment