Raisi Amtumbua mkurugenzi wa Bodi

Rais John Magufuli leo Machi 21 ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Blandina Nyoni.


Taarifa iliyotolewa leo, Machi 21, na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imeeleza hilo.

Kwa uamuzi huo wa Rais Magufuli mwenye mamlaka ya kumteua mwenyekiti wa bodi ya NHC atakuwa ameivunja bodi nzima

Nyoni aliteuliwa kuitumikia nafasi hiyo Februari 25 mwaka 2017 na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mamlaka aliyokuwa nayo aliwateua wajumbe 7 wa bodi hiyo.

Uteuzi wa wajumbe hao ulioanza Machi 23, 2017 ulitakiwa kudumu kwa kipindi cha miaka mitatu.

Raisi Amtumbua mkurugenzi wa Bodi Raisi Amtumbua mkurugenzi wa Bodi  Reviewed by KUSAGANEWS on March 21, 2018 Rating: 5

No comments: