Afisa Mifugo wilayani
Kiteto mkoani Manyara William Msuya amesimamishwa kazi kwa kosa la ubadhilifu
wa fedha za umma, za project ya kupigia chapa mifugo.
Akitoa taarifa ya kusimamishwa kwake
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Kiteto Tamim Kambona, amesema kwamba Msuya
amehusika na upotevu wa pesa za serikali milioni 60 ambazo zilikuwa za mradi,
baada ya kufanya ukaguzi.
Tamim Kambona ameendelea kwa kusema
kwamba Afisa huyo alikuwa hatoi risiti kwa wafugaji ambao ng'ombe wao wamepigwa
chapa huku wengine akiwapatia, na walimtaka kuwasislisha fedha hizo lakini hata
kazini alikuwa ahudhurii.
“Nimempa siku 14 arejeshe fedha hizo
mara moja tena aingize benki na kuniletea risiti hata kwenye vikao anatuma
msaidizi, kwa sasa anakuja kazini kwa muda anaotaka, kama hatorejesha mimi
nitamfikisha mahakamani,” amesema Kambona.
Kambona amesema kwamba ameendelea
kwa kusema na kutahadaharisha kwamba hatosita kumchukulia hatua mtumishi yoyote
atakayeonekana kuihujumu halmashauri, na kutoa onyo kwa watumishi wa idara hiyo
ya mifugo kuwa bado kuna watumishi ambao wameshiriki
Ng'ombe wasababishwa atumbuliwe kazini
Reviewed by KUSAGANEWS
on
March 22, 2018
Rating:
No comments:
Post a Comment