Mkuu wa wilaya ya Arusha Mjini GabrieL Daqaro amewataka mawifi kuacha tabia ya kuwanyanyasa wajane na kuwanyang”anya mali walizoachiwa na
waume zao ili kupunguza migogoro katika familia.
Mh Daqaro ameyasema hayo alipokuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya wanawake duniani yalioadhimishwa katika jiji la Arusha ambapo wanawake zaidi ya 700 wameshiriki katika sherehe hizo.
Amesema kuwa kumekuwepo na malalamiko mengi kwenye ofisi za serikali kuhusu wanawake waliofiwa na waume zao baada ya hapo wanapata manyanyaso baada ya kuachiwa mali za urithi.
Mkuu huyo amewataka ndugu wa mume baadhi kuacha tabia hiyo na kutambua kuwa mali zinazaochwa na mume ni kwa ajili ya watoto na watengeneze upendo baina yao kwa kuwa wengi wamekuwa hawapendani wao kwa wao.
Daqaro amewasisitiza wanawake kuendelea kupiga kelele ili kupinga vitendo vya kikatili na ubakaji kwa kuwa viendo hivyo bado vipo bado kwenye jamii.
Kwa upande wa Mwenyekiti wa Uwt Mkoa wa Arusha Yasminia Bachu amempongeza Dc Daqaro kwa Kuadhimisha pamoja siku ya wanawake Duniani kwa kuwa ametambua uwepo Wao.
Bachu amesema kuwa wameanza kuhakikisha wanasimamia malengo ya wanawake kwa kuwafikia kwenye masoko hasa wale wanawake wanaofanya Biashara Ndogondogo ni wengi Ukilinganisha na wanaume kwa kuwa inaonyesha kuwa ni takribani asilimia 80 walioko katika Biashara hizo.
Naye mkurugenzi wa jiji la Arusha amesema kuwa kama jiji wamejidhatiti katika kutoa mikopo ya wanawake ambapo wanategemea kutoa mikopo ya
wanawake shilingi bilioni 2

"Mawifi acheni kunyanyasa Wajane waliofiwa na Waume zao"Dc Daqaro
Reviewed by KUSAGANEWS
on
March 09, 2018
Rating:
No comments:
Post a Comment