Diwani wa kata ya Osunyai Jr jijini Arusha Bwana Elirehema Nko amejiuzulu nafasi yake ya Udiwani na kujiunga na Chama cha mapinduzi kwa kile alichokitaja kuwa ni kumuuna mkono Raisi Magufuli
Akizungumza Baada ya Kujiuzulu Diwani Huyo amesema ameridhishwa na utendaji kazi wa serikali ya Awamu ya Tano unaosimamiwa na Raisi Wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Magufuli.
Amesema kuwa alipokuwa chadema hakuwa anapata ushirikiano wa Kutosha kutoka kwa watu kutoka kwa watu mbalimbali kwa kuwa alikuwa Chadema.
Ameongeza kuwa kwasasa madiwani wengi watajiuziulu kwa kuwa huko walipo hakuna wanachokifanya zaidi na pia hawapati ushirikiano wowote kutoka kwa Mbunge Wao wa jimbo la Arusha Mjini Godless Lema.
Kwa upande wa Mkurugenz wa Jiji la Arusha Athumani Kihamia amethibitisha kupokea Barua ya kujiuzulu kwa Diwani Huyo

Diwani mwingine Arusha Chadema Ajiuzulu nafasi yake ya Udiwani na Kujiunga na Ccm
Reviewed by KUSAGANEWS
on
March 10, 2018
Rating:
No comments:
Post a Comment