Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.
Hamis Kigwangalla amelijibu jeshi la polisi kuhusu kauli waliyoitoa kuwa jeshi
halifanyi kazi kwa matamko ya wanasiasa.
Ameyasema hayo hii leo jijini Dar es
salaam alipokuwa akizungumza katika kipindi cha 360 kinachorushwa na Cloudstv.
Amesema kuwa askari aliyetoa kauli
hiyo alipotoka na hajui utaratibu wa kiutendaji kazi serikalini hivyo kama
angeamua kumueleza rais, basi askari angeweza kupoteza ajira yake.
Waziri Kigwangalla awajibu Polisi
Reviewed by KUSAGANEWS
on
February 20, 2018
Rating:

No comments:
Post a Comment