Mbunge wa
Arusha mjini, Mh. Godbless Jonathan Lema amedai Vyombo vya usalama vimezuia
kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Moshi mjini Mh. Philemon Ndesamburo kwenye
uwanja wa Mashujaa.
Kupitia ukurasa wake wa twitter Mh. Lema amedai kuwa amezungumza na Diwani wa kata ya Sombetini Mh. Ally Bananga na kwamba wamezuiliwa na vyombo vya usalama kufanyia hapo shughuli ya kumuaga Mzee Ndesamburo.
"Nimeongea na Mh Bananga aliyeko uwanja wa mashujaa , vyombo vya usalama vinazuia kuaga mwili wa Ndesamburo kuagwa hapo. Hii ni mbaya sana" - Mh. Godbless Lema.

Godbless Lema ashangazwa na zuio la kuagwa kwa Ndesamburo
Reviewed by KUSAGANEWS
on
June 03, 2017
Rating:

No comments:
Post a Comment