UAMUZI DHAMANA YA BONIFACE NI OCT.7



Mahakama ya hakimu Mkazi wa Kisutu imepanga Oktoba 7,2024 kutoa uamuzi juu ya dhamana ya Meya wa zamani wa Ubungo ,Boniface Jacob baada ya hii leo kutupiliwa mbali maombi ya Serikali juu ya kiapo cha ziada katika kiapo awali.


Nje ya Mahakama ,Wakili wa utetezi ,Peter Kibatala ameongea kuhusu hoja za Serikali zilizotupiiwa mbali sambamba na matarajio ya uamuzi wa Oktoba 7 utakaotolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi Franco  kiswaga. 

UAMUZI DHAMANA YA BONIFACE NI OCT.7 UAMUZI DHAMANA YA BONIFACE NI OCT.7 Reviewed by KUSAGANEWS on October 01, 2024 Rating: 5

No comments: