Leo octoba 7,2024 Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imekubaliana na hoja za utetezi kuhusu pingamizi la kutopatiwa dhaman lililokuwa limewekwa na Jamhuri serikali dhidi aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni na baadaye Ubungo ,Dar es Salaam Boniface Jacob (Boni Yai ) hivyo mwanasiasa huyo amepatiwa dhamana inayoendana na Masharti yanatakavyo kwenye shauri la msingi ,ambalo sasa linaendelea
MAHAKAMA YAMPATIA DHAMANA BONI YAI .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
October 07, 2024
Rating:
No comments:
Post a Comment