Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU )inachunguza ujenzi wa kituo cha Afya cha kata ya Ushirika wilayani Mbogwe mkoani Geita kufuatia mradi huo kudaiwa kusuasua na kutokamilika kama ilivyopangwa .
Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Afya Ushirika ulianza Oktoba 11,2024 baada ya kupokea Sh miioni 500 kutoka Serikali kuu kupitia fedha za tozo za miamala ya Simu .
SERIKALI YASHTUKIA UPIGAJI MAMILIONI KITUO CHA AFYA .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
October 09, 2024
Rating:
No comments:
Post a Comment