Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu ) Wiliam Lukuvi amesema serikali itaendelea kuheshimu misingi iliyowekwa na vyama vya siasa katika kujenga amani na utulivu kwa watanzania wote .
Kauli hiyo ameitoa jijini Dar es Salaam katika ziara yake ya kutembelea Makao Makuu ya Ofisi za Vyama vya UDP, NCCR MAGEUZI ,CUF na NLD ambapo amepata nafasi ya kukutana na kufanya mazungumzo na Viongozi Wakuu wa vyama hivyo.
SERIKALI KULINDA MISINGI YA VYAMA VYA SIASA .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
October 09, 2024
Rating:
No comments:
Post a Comment