Sakata la dhamana ya Meya wa zamani wa Kinondoni na ubungo jijini Dar es Salaam ,Boniface Jacob ,linatarajiwa kuendelea tena leo Jumanne Oktoba mosi ,2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Dar es Salaam ,Kisutu .
Jacob ,maarufu Boni yai mkazi wa Mbezi Msakuzi ,Dar es Salaam mfanyabiashara na mwanasiasa wa Upinzani anakabiliwa na kesi ya Uchapishaji taarifa za uongo kwenye mitandao ya kijamii ambayo upelelezi wake bado haujakamilika .
KIZUNGUMKUTI DHAMANA YA BONI YAI LEO TENA
Reviewed by KUSAGANEWS
on
October 01, 2024
Rating:
No comments:
Post a Comment