Waziri wa Maendeleo ya Jamii ,Jinsia Wanawake na wenye Mahitaji Maalum ,Dk Dorothy Gwajima ,amezungumzia kifungo cha vijana wanne ,maarufu 'waliotumwa na afande 'kumbaka na kumlawiti binti wa Yombo Dovya
Hii ni baada ya Waziri Gwajima kuposti katika mtandao wa X zamani Twitter ,hukumu ya watu hao wanne ambao jana Septemba 30,2024 walihutumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa hilo na baadaye wasomaji kuuliza maswali
HUKUMU 'WALIOTUMWA NA AFANDE 'WAZIRI GWAJIMA APIGWA MASWALI ,AYAPANGUA .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
October 01, 2024
Rating:
No comments:
Post a Comment