POLISI YAWASHIKIRIA VIONGOZI WA CHADEMA .











Jeshi la Polisi limewakamata na kuondoka na viongozi wa kuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA )baada ya viongiozi hao kudaiwa kukaidi agizo la polisi a kukataa kutoandamana leo Septemba 23


Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na mtoto wak Nicole wamekamatwa muda mchache kabla  ya kuanza kile walichokiita maandamano ya haki .Mbowe alikamatwa  maeneo ya magomeni na Jeshi la Polisi bado halijatoa taarifa yeyote .


Vilevie Chadema imedai ,Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho ,Tundu lissu alichukuliwa asubhi leo Nyumban  kwake Tegeta jijini Dar es Salaam wakati akijiandaa kujumuika na wanachadema kwa ajii ya maandamano 

POLISI YAWASHIKIRIA VIONGOZI WA CHADEMA . POLISI YAWASHIKIRIA VIONGOZI WA CHADEMA . Reviewed by KUSAGANEWS on September 23, 2024 Rating: 5

No comments: