Kamanda wa polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ,Jumanne Muliro amesema wanashikilia watu 14 wakiwemo mwenyekiti wa Chadema Taifa ,Freemon Mbowe ,Makamu Mwenyekiti -Bara ,Tundu Lissu na Makamu Mwenyekiti -Bara ,Tundu Lisu na Mwenyekiti wa Chama hicho kanda ya kaskazini ,Godbless Lema .
Muliro amesema watu hao wamekaidi amri halali ya Polisi ya kuacha kushiriki maandamano jijini Dar es Salaam na mahojiano dhidi ya yanaoendelea .
POLISI WAMESEMA WAMEKAMATA 14 AKIWEMO LEMA MAANDAMANO YA CHADEMA .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 23, 2024
Rating:
No comments:
Post a Comment