MWALIMU MBARONI AKIDAIWA KUMUUWA MWANAFUNZI KWA KICHAPO .












 Jeshi la  Polisi Mkoa wa Kagera linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Msingi Igurwa ,Adrian Tinchwa (36) kwa tuhuma za kumuua ,Phares Buberwa  mwanafunzi wa kidato cha tatu Shule ya Sekondari Igurwa 


Taarifa iliyotolewa jana Jumanne Septemba 24,2024 na Kamanda  wa Polisi mkoani humo ,Blasius imesema mwalimu huyo ambaye  ni mkazi wa kata ya Kanoni wilayani Karagwe ,inadaiwa alimshambulia marehemu kwa kumpiga mguuni kwenye paji la uso na kutumia  nondo kumpiga nayo miguuni na mikononi baada ya kumtuhumu kuiba simu yake .

MWALIMU MBARONI AKIDAIWA KUMUUWA MWANAFUNZI KWA KICHAPO . MWALIMU MBARONI AKIDAIWA KUMUUWA MWANAFUNZI KWA KICHAPO . Reviewed by KUSAGANEWS on September 25, 2024 Rating: 5

No comments: