WATAKA MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA KIUCHUMI DIRA YA MAENDELEO.





Wataka maboresho miundombinu ya kiuchumi dira ya maendeleo 2050

Jumanne, Agosti 20, 2024WATAK






Baadhi ya washirki wa kikao cha kutoa maoni kwa ajili ya uandaaji wa dira ya taifa ya maendeleo ya mwaka 2050 kilichofanyika mjini Musoma.


Muktasari:

Wakati Serikali ikiendelea na mchakato wa uandaaji wa dira ya Taifa ya maendeleo baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Mara wameiomba kuzingatia suala la uboreshaji wa miundombinu ya kiuchumi mkoani humo ili kuinua uchumi.



Musoma ;Wakati serikali ikiendelea na mchakato wa kuandaa Dira ya Taifa ya maendeleo kwa mwaka 2050,baadhi ya wakazi wa mkoa wa Mara wameiomba izingatie uboreshaji wa miundombinu ya kiuchumi Mkoani huko.

wametaja miundombinu hiyo kuwa ni pamoja na ya ujenzi wa viwanda ,uboreshaji wa bandari na mazingira ya uwekezaji katika sekta mbalimbali .

wamesema hatua hiyo itaongeza Ajira na pia kushusha bei za bidhaa za viwandani zikiwemo za ujenzi ,kilimo na biashara.






















































WATAKA MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA KIUCHUMI DIRA YA MAENDELEO. WATAKA MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA KIUCHUMI DIRA YA MAENDELEO. Reviewed by KUSAGANEWS on August 20, 2024 Rating: 5

No comments: