Kampuni ya State oil Tanzania yakubali kuzilipa mkopo wa benki wa Dola 18.64 milion za Marekani sh47 bilion ,Equity Bank Tanzania Limited( EBT) na Equity Bank Kenya (EBK) uliokuwa unabishaniwa
kampuni hiyo awali ilifungua kesi Mahakama kuu Divisheni ya Biashara ,Dar es salaam dhidi ya benki hizo ikipinga kudaiwa fedha yeyote na benki hizo mbili .
Hata hivyo ,benki hizo zilifungua madai kinzani zikidai kuwa zinadai kampuni hiyo Dola 26.47 million za Marekani likiwa ni deni la mkopo ambao zilipatia kampuni hiyo November 21 ,2018
Benki hizo zilikata rufaa Mahakama ya Rufaani zikipinga hukumu hiyo ya Mahakama kuu na Mahakama ya Rufaani katika uamuzi wake iliiotoa Mei 16 na Mahakama bila kusikiliza hoja za msingi za rufaa ya benki hizo
STATE OIL KUKUBALI KUZILIPA BENKI ZA EQUITY .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
August 21, 2024
Rating:
No comments:
Post a Comment