Watano wahukumiwa kunyongwa kesi ya bilionea Msuya

Mahakama Kuu ya Tanzania imewahukumu kunyongwa hadi kufa washitakiwa watano baada ya kuwatia hatiani kwa kumuua kwa makusudi mfanyabiashara wa Arusha na Mirerani, Erasto Msuya

Waliohukumiwa adhabu hiyo ni mshitakiwa wa kwanza, Sharifu Mohamed; mshitakiwa wa tatu, Mussa Mangu; wa tano, Karim Kuhundwa; wa sita Sadick Mohamed na wa saba; Ally Mussa Majeshi
Hukumu hiyo imetolewa leo Julai 23, 2018 na Jaji Salma Maghimbi aliyesikiliza kesi hiyo

Pia, Mahakama imemwachia huru mshitakiwa wa pili, Shwaibu Jumanne baada ya kukosekana ushahidi dhidi yake.
Watano wahukumiwa kunyongwa kesi ya bilionea Msuya Watano wahukumiwa kunyongwa kesi ya bilionea Msuya Reviewed by KUSAGANEWS on July 23, 2018 Rating: 5

No comments: