Wahamiaji saba
raia wa Ethiopia wamekamatwa Kijiji cha Pingo Chalinze mkoani Pwani baada ya
kukutwa wakiwa wamejificha kwenye jengo la nyumba ambayo bado haijaisha ujenzi
wake (pagale)
Akizunguma leo
Juni 5, Kamanda wa Polisi, Pwani Jonathan Shanna amesema raia hao pia
wanashikiliwa kwa kosa la kuingia nchini bila kibali na walikamatwa alasiri
Juni 04 kijiji hapo
Shanna amesema
wahamiaji hao walioonekana kuwa na njaa wamedai walikuwa wanasafiri kuelekea
Msumbiji kutafuta maisha kwa madai kuwa nchini kwako hali si shwari na kuna
mapigano.
Watuhumiwa saba wa uhamiaji haramu wakamatwa Chalinze
Reviewed by KUSAGANEWS
on
June 05, 2018
Rating:

No comments:
Post a Comment