Lissu
ametoa neno hilo la shukrani asubuhi ya leo ikiwa imepita siku moja
tokea alipomaliza kufanyiwa upasuaji huo ambao unakuwa wa 20 kufanyiwa
mpaka hivi sasa ili kuweza kumsaidia kupona kabisa na kurejea katika
harakati zake alizokuwa azifanyazo hapo awali.
"Hello wapendwa wangu nawasalimu wote kwa upendo mkubwa ile mbio ya marathon ya jana iliisha salama baada ya masaa saba. Sasa nimeingia kwenye hatua uponyaji, Mungu ni mwema amewawezesheni kuendelea kunipigania. Bila shaka ataniwezesha, kwa kupitia kwenu, kumalizia sehemu hii iliyobaki. Mungu awabariki sana na awaongezee mlikopungukiwa", amesema Lissu.
Mbunge Tundu Lissu alishambuliwa na watu wasiojulikana tangu Septemba 7,2017 akiwa mkoani Dodoma, na kisha kupelekwa nchini Nairobi kwa matibabu na baada ya miezi 3 alipelekwa nchini Ubelgiji kwa hatua nyingine ya matibabu.

Masaa saba ya upasuaji Lissu abaini jipya
Reviewed by KUSAGANEWS
on
June 05, 2018
Rating:

No comments:
Post a Comment