Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu
(LHRC) imemtangaza Bi. Anna Henga kuwa Mkurugenzi mpya wa kituo hicho ambapo
atapokea mikoba ya Mkurugenzi wake wa muda mrefu, Dr. Helen Kijo-Bisimba.
Uteuzi wa Bi. Henga ni matokeo ya
mchakato wa ndani wa muda mrefu uliotekelezwa na bodi ya Wakurugenzi ya kituo
hicho kutoka mwanzoni mwa mwaka 2017.
Katika taarifa iliyotolewa leo na
Kituo hicho imeeleaa kuwa uteuzi wa Bi. Henga unatarajiwa kuanza
Julai 1 mwaka huu..
Awali Bi. Henga alikuwa Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu
Kijo-Bisimba ang'atuka LHRC
Reviewed by KUSAGANEWS
on
May 28, 2018
Rating:
No comments:
Post a Comment