Wabunge wawili
wa Chadema, Esther Bulaya na Halima Mdee tayari wamewasili Kituo Kikuu cha
Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kama masharti ya dhamana yaliyotolewa na
Mahakama ya Kisutu
Wabunge hao
pamoja na wengine saba, akiwamo Katibu Mkuu wa Chadema, Vincent Mashinji,
Mwenyekiti Taifa, Freeman Mbowe, Naibu Katibu Mkuu Bara, John John Mnyika na
Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu, walisomewa mashtaka manane yakiwao
uchochezi na kuhamasisha maandamano
Wengine
wanaoshtakiwa ni Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa, Esther Matiko, mbunge wa
Tarime na John Heche, Mbunge wa Tarime, Vijijini.
Wabunge Chadema waanza kuwasili Polisi
Reviewed by KUSAGANEWS
on
April 27, 2018
Rating:
No comments:
Post a Comment