Mbowe na Viongozi wengine wafika kituo change Polisi

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA  Taifa, Freeman Aikael Mbowe, amefika katika kituo kikuu cha Polisi akiwa ameongozana na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zanzibar, Salum Mwalimu ambae alikuwa mgombea katika jimbo la Kinondoni.

Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, iliagiza kukamatwa kwa viongozi saba waandamizi wa CHADEMA, akiwamo Mbowe, Katibu Mkuu Vincent Mashinji na Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika.

Mbowe na Viongozi wengine wafika kituo change Polisi Mbowe na Viongozi wengine wafika kituo change Polisi Reviewed by KUSAGANEWS on March 16, 2018 Rating: 5

No comments: