BREAKINGNEWS:WATU SABA WAFARIKI KATIKA AJALI YA GARI KIGOMA


Watu 7 wamefariki katika ajali iliyohusisha gari aina ya Scania Lori iliyotokea katika kijiji cha Mkongoro Kigoma

Chanzo cha ajali, ni Dereva wa Lori kushindwa kulimudu gari wakati akishuka kwenye mteremko uliokuwa na kona kali na kumgonga mtembea kwa miguu na kisha kupinduka.

Kamanda wa Polisi mkoani Kigoma Martin Otieno amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

BREAKINGNEWS:WATU SABA WAFARIKI KATIKA AJALI YA GARI KIGOMA BREAKINGNEWS:WATU SABA WAFARIKI KATIKA AJALI YA GARI KIGOMA Reviewed by KUSAGANEWS on March 21, 2018 Rating: 5

No comments: