Mbunge wa viti maalum mkoa wa Arusha Catherine Magige ameungana na katibu wa itikadi na Uenezi Humfrey Polepole katika ziara ya kutembelea kaya zinazowezeshwa na mfuko wa TASAF awamu ya Tatu jiji la Arusha.
Katika ziara Hiyo Mbunge Magige amesaidia kaya zilizotembelewa na kujitolea vitu kama vile Unga, Sukari na Mchele.
Magige amesema kuwa jamii ina nafasi ya Kujitolea kusaidia wananchi kwa kuwa amejionea changamoto ya baadhi ya kaya kupata mlo mmoja kea siku hivyo akaona asaidie kidogo alichonacho.
Akizungumza Magige kwa upande mwingine ameomba wanawake mkoa wa Arusha kuendelea kumtumia mbunge Huyo kwa kuwa amepewa ridhaa ya Kuwakilisha wananchi.

Mbunge Magige ajitolea Kusaidia Kaya maskini
Reviewed by KUSAGANEWS
on
February 21, 2018
Rating:

No comments:
Post a Comment