Timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar
Heroes leo imepata ushindi wa magoli matatu kwa moja (3-1) dhidi ya Rwanda
kwenye michuanao ya CECAFA inayoendelea kule nchini Kenya.
Magoli ya Zanzibar yamefungwa na
Mudathir Yahaya,Mohamed Issa"Banka" na Kassim Khamiss.
Mchezo wa awali kwenye michuano
hiyo,Zanzibar ilifungwa magoli mawili kwa bila na Kenya (2-0).
ZANZIBAR HEROES YAICHAPA RWANDA 3-1
Reviewed by KUSAGANEWS
on
December 09, 2017
Rating:

No comments:
Post a Comment