Mchungaji Ambilikile Mwasapile maarufu Babu wa Loliondo ametabiri mafuriko makubwa ya watu kuelekea Samunge katika siku za hivi karibuni kufuata kikombe cha dawa ambacho kilipata umaarufu mkubwa miaka michache iliyopita.
Amesema hana shaka kabisa kwasababu hata maelfu ya watu waliofurika kipindi kilichopita alioneshwa kabla ya kutokea na aliwaambia baadhi ya watu ambao walithibitisha maono yake.
Amesema kumekua na maendeleo ya kijamii yaliyosababishwa na huduma za utoaji dawa zikiwemo huduma za mitandao ya simu na kuboreshwa barabara.

BABU WA LOLIONDO AOTESHWA TENA.
Reviewed by KUSAGANEWS
on
December 11, 2017
Rating:

No comments:
Post a Comment