"Same tunataka kuongoza Tanzania kimaendeleo" DC SAME

Tasisi pamoja na wadau wa maendeleo Wakiongozana na wadau toka Ohio University -Marekani wamemtembelea Mkuu wa Wilaya ya Same Bi Rose Mary na kukubaliana kuendelea kukifanya kijiji cha Ruvu Mwarwa kuwa kijiji cha mfano Kwa Mkoa wa Kilimanjaro na baadaye Tanzania.

Wadau hao Wameahidi kuendelea kuleta wanafunzi 30 kila mwaka katika kijiji hicho pamoja na wanafunzi toka UDOM Kuchochea maendeleo katika nyanja za afya, maji, umeme, kilimo na uchumi. .

Kwa upande wa mkuu wa wilaya ya same Kama ambavyo nchi yoyote ikiwemo Marekani inataka kuongoza dunia na Tanzania tungependa kuongoza Africa.

""Na Same tunataka kuongoza Tanzania.
Hebu tukubaliane kushikana mkono ili kila ngazi ifikie lengo lake"

Akizungumza amesema kuwa Moja ya wazo alilotoa ni kufikiria kuanzisha tawi la Ohio University Hapa Same Eneo la kuwapa  tayari lipo.

"Same is not same"

"Same tunataka kuongoza Tanzania kimaendeleo" DC SAME "Same tunataka kuongoza Tanzania kimaendeleo" DC SAME Reviewed by KUSAGANEWS on August 21, 2017 Rating: 5

No comments: